Sunday, May 14, 2017

PICHA/VIDEO : NDEGE YA MAREKANI ILIVYOTUA KIA KUWACHUKUA MAJERUHI WA AJALI YA LUCKY VICENT , NDEGE HIYO ITAONDOKA LEO SAA TANO ASUBHI , RC GAMBO KUWASILI KIA ,RATIBA NZIMA IKO HAPA MTU WANGU.


Hii in Ratiba nzima ya Ndege hiyo ya Marekani ambayo itaondoka mapema SAA tank asubuhi kuelekea Marekani .

Jumamosi, Mei 13

Ndege DC 8 kuwasili KIA saa 1:45 usiku

Jumapili, Tarehe Mei 14

SAA 1 asubuhi:  Watoto na wazazi kuondoka Hospitali ya Mount Meru kuelekea KIA

Saa 2 asubuhi: Wote kuwasili KIA  (wagonjwa, wazazi, madaktari, wanahabari, ndugu, jamaa, na marafiki na wanajamii kwa ujumla

Saa 2:30 asubuhi: Mkuu wa MKOA wa Arusha Mhe Mrisho Gambo kuwasili KIA

Saa 3.00 asubuhi: Hafla ya kuwaaga wasafiri wote: Mgeni Rasmi Mkuu wa MKOA wa Arusha, Mh Mrisho Gambo

Saa 4.00 Wimbo wa Taifa kuimbwa 

Saa 4:15 Wasafiri kuingia kwenye Ndege DC 8

Saa 5.00 asubuhi: Ndege kuondoka kuelekea Amerika

VIDEO IKO HAPA MTU WANGU.

No comments:

Post a Comment