Hii in Ratiba nzima ya Ndege hiyo ya Marekani ambayo itaondoka mapema SAA tank asubuhi kuelekea Marekani .
Jumamosi, Mei 13
Ndege DC 8 kuwasili KIA saa 1:45 usiku
Jumapili, Tarehe Mei 14
SAA 1 asubuhi: Watoto na wazazi kuondoka Hospitali ya Mount Meru kuelekea KIA
Saa 2 asubuhi: Wote kuwasili KIA (wagonjwa, wazazi, madaktari, wanahabari, ndugu, jamaa, na marafiki na wanajamii kwa ujumla
Saa 2:30 asubuhi: Mkuu wa MKOA wa Arusha Mhe Mrisho Gambo kuwasili KIA
Saa 3.00 asubuhi: Hafla ya kuwaaga wasafiri wote: Mgeni Rasmi Mkuu wa MKOA wa Arusha, Mh Mrisho Gambo
Saa 4.00 Wimbo wa Taifa kuimbwa
Saa 4:15 Wasafiri kuingia kwenye Ndege DC 8
Saa 5.00 asubuhi: Ndege kuondoka kuelekea Amerika
VIDEO IKO HAPA MTU WANGU.
0 Comments:
Post a Comment