Saturday, May 13, 2017

BURUDANI:May 13 Ni siku muhimu Afrika katika sekta ya sanaa, Lile tamasha kubwa la ONE AFRICA MUSIC FEST lililochukua headlines Wiki nzima le ndo linafanyika rasmi jijini London , UK , Kutoka Tanzania Tumewakilishwa na Ali Kiba

Image result for Ali Kiba one africa music fest londonList nzima ya wasanii wanaoburudisha leo ipo hapa , Mwaka jana Tanzania iliwakilishwa na staa anayegfanya vizuri afrika kwa sasa Mkali wa 'Marry You' Diamond Platnumz . Macho ya watanzania yapo kwa msanii Ali Kiba ambaye mwaka huu ni zamu yake kuiwakilisha taifa la Tanzania.
Image result for one africa music fest london

Related image

Banky W, Cassper Nyovest, Falz walipofika London For One Africa Music Fest

No comments:

Post a Comment