PICHA: Ni Picha 2 inayoeleza taarifa kuwa Vijana 11 watanzania walivyonaswa South Africa kwa tuhuma za ubakaji

Ni Vijana 11 Watanzania walionaswa nchini Afrika Kusini kwa kisa cha ubakaji. Hii picha imetolewa na Askari polisi wa Johaneaberg 

Kwa mujibu wa taarifa za Polisi za polisi wa jijini Johanneaberg hao wamewakamata Baada ya kumbaka mwanamke mmoja (26) aliyekuwa akitoka kazini.

Kutoka TZA chanzo

"Polisi wapatao kumi waliingia kwenye jengo tukio lilikofanyika na kumuokoa Mwanamke huyo aliyekua kwenye hali mbaya ambapo walimpeka Hospitali huku Watuhumiwa wakichukuliwa na kupandishwa Mahakamani siku ya Jumatano."

"Mmoja wa Polisi hao alitaja maneno ya kiswahili kama vile ‘Mjombabangi na mambo vipi‘ akisema alijifunza maneno hayo machache baada ya kuyasikia yakirudiwa kuzungumzwa mara kwa mara na Watanzania wanaoshikiliwa kituoni."

0 Comments:

Post a Comment