Thursday, May 18, 2017

MKUU WA MKOA, GAMBO AMETUAGIZA KUWAKAMATA

Kaimu Kamanda wa polisi mkoani Arusha Yusuph Ilembo amewaambia waandishi wa habari kuwa wampe muda afuatilie sababu za waandishi kujumuishwa na waliokamatwa.

"Sisi tumeelekezwa na mkuu wa mkoa kule kunakusanyiko lisilo halaali...

Mmesikia kuna wengine walikuwa wanasema rambirambi zimeliwa wala hayana ukweli na mnajua mambo kama haya yanaweza kuleta machafuko

Nipeni muda nifuatilie nitawapa taarifa


No comments:

Post a Comment