Thursday, May 18, 2017

MEYA CALIST,WAANDISHI WAKAMATWA NA POLISI , WAKIWA LUCKY VICENT

JESHI la Polisi Limemkata meya wa jiji la Arusha Calist  Lazaro pamoja na waandishi wa habari 10.

Meya alikuwa ameenda kukabidhi rambirambi kwa wafiwa

Waandishi waliokamatwa
1 .Godfrey Thomas ayo tv
2.Alphonce kusaga Triple A
3.Filbert Rweyemamu mwananchi
4.Husein Tuta Itv
5.Joseph Ngilisho Sunrise radio
6.Geofrey Steven Radio 5
7.Janeth Mushi Mtanzania
8.Zephania Ubwani The Citizen
9.Elihuruma Yohani mwakilishi wa  Tanzania Daima
10.Idd uwesu Azam Tv


No comments:

Post a Comment