EXCLUSIVE: Ni Video tena Sasa hii ni ya Mmoja wa wazazi waliofiwa katika ajali ya gari ya wanafunzi iliyowafika shule ya Lucky Vicent Arusha.


Ni kwamba wazazi waliokuwepo kwenye kamati ya rambirambi ya msiba huo iliyoundwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha wamejitoa rasmi katika kamati hiyo.

Kwa mujibu wa mzazi huyo ambaye hakutaka jina lake linukuliwe ameeleza Sababu kubwa ya wao kujitoa kwamba ni kitendo cha kutumika nguvu ya dola has a wakati ambapo kulikuwa na ibada ya kupewa pole na rambirambi , ibada ambayo haikufanyika kutokana na kuvamiwa na Jeshi la Polisi na kukamatwa Meya wa jiji la Arusha mh. Kalisti Lazaro ,Katibu wa TAMONGSCO kanda ya Kaskazini Mh. Leonard Mao , Waandishi wa Habari 10 , pamoja na wamiliki wa shule binafsi waliokuwepo katika hafla hiyo.
KATIKA VIDEO HAPA CHINI MZAZI HUYU ANAELEZA SABABU YA WAO KUJITOA KWENYE KAMATI YA RC GAMBO


0 Comments:

Post a Comment