PICHA: msanii wa Tanzania Diamond Platnumz akiwasili nchini Zambia kwa ajili ya show aliyoalikwa yeye pamoja na mastaa wa Zambia (local artists). Nimekuletea picha 4 Alizoniforwardia Diamond ,Diamond yupo na band yake nzima kwa mujibu wa Dangote mwenyewe show itafanyika Leo 29 April
Saturday, April 29, 2017
No Comment
0 Comments:
Post a Comment