Fwd: VIDEO; MWENYEKITI MBOWE AMTAKA RAIS KIKWETE KUACHA UNAFIKI KATIBA MPYA




Sehemu ya hotuba ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe akifungua kikao cha siku mbili cha Kamati Kuu kilichoanza kuketi leo jijini Dar es Salaam.

Hotuba yake leo ilijikita katika suala la mchakato wa Katiba Mpya, tulipotoka, tulipo na tunakopaswa kwenda.

0 Comments:

Post a Comment