Tuesday, February 18, 2014

MNYIKA YUKO MAHAKAMA YA EA

Mnyika anaendelea kutoa ushahidi wake mahakama ya Afrika Mashariki(EACJ) kwenye kesi ya kutaka tafsiri ya sheria kwenye uchaguzi wa wabunge wa eala kutoka bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Chama ambacho ni kambi rasmi imekosa uwakilishi pia anataka vijana wapate nafasi

Shauri limefunguliwa na Antony Komu aliyekuwa mgombea kupitia CDM 2012

No comments:

Post a Comment