Mnyika anaendelea kutoa ushahidi wake mahakama ya Afrika Mashariki(EACJ) kwenye kesi ya kutaka tafsiri ya sheria kwenye uchaguzi wa wabunge wa eala kutoka bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Chama ambacho ni kambi rasmi imekosa uwakilishi pia anataka vijana wapate nafasi
Shauri limefunguliwa na Antony Komu aliyekuwa mgombea kupitia CDM 2012
Saba wajishindia TV na Bajaji Kupitia Kampeni ya “Mwaka Umenyooka na
Myairtelapp”
-
*Dar es Salaam, 3 Februari 2026* – Airtel Tanzania leo imekabidhi zawadi
ambazo ni Tv na Bajaji kwa washindi saba kupitia kampeni yake ya miezi
mitatu y...
1 hour ago
0 Comments:
Post a Comment