Tuesday, February 18, 2014

CCJ wawabwaga Lowasa, Membe, Wasira,Makamba, Ngereja na Sumaye

CCJ yaibuka kidedea, Baada ya kutoa siku tisini (90) na kugeuka kuwa miaka 90 ya kuwavua magamba Lowasa, Chenge, Rostam katibu mwenezi wa CCM na Mwanzilishi wa CCJ akiwa na Samwel Sitta, Mwakyembe.. amekuja na njia mpya ni ya kuwasimamisha Lowasa, Membe, Wasira, January Makamba, Ngereja na Fredreck Sumaye kuwania uongozi wowote ndani ya CCM  kwa muda wa mwaka mmoja (miezi 12) kwa hili CCJ ni washindi...

No comments:

Post a Comment