Tuesday, May 29, 2012

WAZIRI SHAMUHUNA KWENYE MKUTANO WA AfBD



Waziri  wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ( SMZ), Ali Juma Shamuhuna akifuatilia mkutano mkuu wa Benki  ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaoendelea kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha jijini Arusha (AICC)

No comments:

Post a Comment