RAIS wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt Donald Kaberuka akizungumza kwenye mkutano wao mkuu unaoendelea jijini Arusha ambao umelenga kujadili Maendeleo Endelevu ya Afrika kwa kujumuisha thamani ya Rasilimali Asilia katika kupima maendeleo ya kiuchumi katika nchi za Afrika.

No comments:
Post a Comment