 |
WAZIRI
wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) akiteta jambo na Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB) ambaye pia ni Mwenyekiti wa
Taasisi za Mabenki ya Maendeleo ya Afrika (AADFI), Peter Noni kabla ya kufungua
rasmi mkutano wa 38 wa mwaka wa Taasisi hiyo
jana mjini Arusha.Kulia ni Mwenyekiti wa heshima wa AADFI (Honorary
Chairman) Geoffrey.
|
|
|
|
|
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akifungua mkutano wa 38 wa mwaka wa Taasisi za Benki za Maendeleo ya Afrika (AADFI) kwenye hoteli ya Arusha palace jijini Arusha. Jopo la wataalamu kutoka Taasisi hizo wamekutana kujadili ni kwa jinsi gani wanaweza kusaidia maendeleo katika nchi za Afrika. Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB) ilikuwa mwenyeji wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment