WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akifungua mkutano wa 38 wa mwaka wa Taasisi za Benki za Maendeleo ya Afrika (AADFI) kwenye hoteli ya Arusha palace jijini Arusha. Jopo la wataalamu kutoka Taasisi hizo wamekutana kujadili ni kwa jinsi gani wanaweza kusaidia maendeleo katika nchi za Afrika. Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB) ilikuwa mwenyeji wa mkutano huo.
MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WAWASILISHA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI
WA SHUGHULI ZA MAENDELEO KWA NGAZI YA KATA
-
Na Nasra Ismail, Geita
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita leo Februari 3,2026
katika Mkutano wake wa Kawaida wa robo ya pili kwa mwaka 20...
1 hour ago
0 Comments:
Post a Comment