Dodoma, 27 Juni 2025 – Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. John Emmanuel Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na mwandishi mkongwe na Mwenyekiti Mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Ndugu Absalom Kibanda, katika ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.
IAEA yajionea mageuzi ya utoaji huduma katika Taasisi ya Ocean Road
-
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Ocean Road Dkt.Diwani Msemo akizungumza
kuhusiana na mikakati ya Taasisi mara baada ya kutembelewa na IAEA jijini
Dar es ...
1 hour ago




0 Comments:
Post a Comment