Mbowe atua Bukoba Tayari kwa Maandamano

 


Mwenyekiti wa Chadema Taifa freemanm Mbowe jioni ya leo tarehe 21 Aprili 2024 amewasili mjini Bukoba tayari kuongoza maandamano ya amani kesho tarehe 22 Aprili 2024. 


Mwenyekiti ameshiriki kikao kazi na kupewa taarifa ya maandalizi ya maandamano hayo ya kesho.


Aidha, mwenyekiti amekagua ujenzi wa ofisi ya Chadema ya Mkoa wa Kagera na wilaya ya Bukoba Mjini.



0 Comments:

Post a Comment