Thursday, April 28, 2022

FUATILIA UZINDUZI WA THE ROYAL TOUR ARUSHA

RAIS, Samia Suluhu Hassan  atafanya uzinduzi wa Filamu ya Tanzania 'The Royal Tour' leo Aprili 28, 2022, Wananchi na wadau wa Utalii wajitokeza kufuatilia tukio hilo la kihistoria nchini kwenye Kituo cga Mikutano cha Kimataifa Arusha, (AICC), Jijini Arusha.

 







No comments:

Post a Comment