Thursday, March 31, 2022

HAYA HAPA MAJINA MAKATIBU WAPYA WA WILAYA UV CCM

 

SEKRETARIETI ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imefanya uteuzi wa Makatibu wa UVCCM wilaya na kufanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa baadhi ya makatibu wa waliokuwepo..





Hayo yamebainishwa kupitia taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Kenani Kihongosik baada ya kikao hicho,  kilichofanyika Machi 30,2022 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete (Convention) jijini Dodoma 



"Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi inapenda kuwajulisha wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi na wanachama wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kwamba, Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika kikao chake kilichofanyika tarehe 30/03/2022, Ukumbi wa Jakaya Kikwete (Convention) jijini Dodoma, kimefanya uteuzi wa makatibu wa UVCCM wilaya kama ifuatavyo


5





No comments:

Post a Comment