Rais, Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati, Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipozuru Kaburi hilo leo Oktoba 14, 2021. Alikuaa njiani akielekea katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato Mkoani Geita kwa ajili ya kushiriki katika kilele cha mbio maalum cha Mwenge wa Uhuru.
USHAHIDI WA TUNDA LA MTI WA KATI KULIWA NGORONGORO HUU HAPA
-
Mwaka 1976, Mtafiti wa masuala ya Akiolojia Dr. Mary Leakey aligundua nyayo
za zamadamu eneo la Laetoli zilizohifadhika katika mwamba wa jivu la
volcano il...
1 hour ago
0 Comments:
Post a Comment