Thursday, January 21, 2021

MBUNGE MARTHA UMBULLA AFARIKI

Mbunge wa Viti Maalum CCM, Martha Umbulla amefariki dunia jana Jumatano Januari 20, 2021 katika hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa matibabu, amesema Spika Job Ndugai.




 

No comments:

Post a Comment