Mbunge wa Viti Maalum CCM, Martha Umbulla amefariki dunia jana Jumatano Januari 20, 2021 katika hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa matibabu, amesema Spika Job Ndugai.
Benki ya CRDB yaja na ‘Benki Kimpango Wako’ ikiahidi huduma bora zaidi kwa
wateja na wadau mwaka 2026
-
Baada ya ufanisi mkubwa wa biashara kwa mwaka 2025 uliochangia kupata faida
ya zaidi ya shilingi trilioni 1.04, Benki ya CRDB leo imezindua kampeni
yake...
24 minutes ago


0 Comments:
Post a Comment