Friday, January 8, 2021

JPM ATEMBELEA MAONYESHO YA BIDHAA CHATO

  


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo, (tarehe 8 Januari, 2021) ametembelea baadhi ya wafanyabiashara waliofika kuonesha bidhaa zao za sanaa mjini Chato wakati wa ziara ya siku mbili ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China,Wang Yi.





No comments:

Post a Comment