Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr Damas Ndumbaro akimpokea Drew Binsky, uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam, Tanzania tarehe 27 Disemba 2020.
Drew ambaye anawafuasi zaidi ya 30 milioni kwenye mitandao ya kijamii na mkewe Diana wanatembelea vivutio vya utalii Tanzania.

No comments:
Post a Comment