October 17 Waziri wa Mambo ya ndani Mwigulu Nchemba alitembelea eneo la lotaz za Polisi Arusha ambazo ziliungua nakupelekea Maafisa 30 wa jeshi hilo kukosa makazi na familia zao..
Wadau mbalimbali wa Maendeleo waliungana na Serikali katika kusaidia ujenzi wa nyumba za Polisi. Na miongoni mwa wadau hao ni Kampuni ya madini ya Tanzanite one ambayo imechangia ujenzi wa nyumba hizo.
VOA TV News & Habaritanzaniagracemacha.com imeshuhudia ujenzi wa nyumba hizo.
Hapa chini nimekuwekea video fupi Mkurugenzi wa Kampuni ya Tanzanite One Hussein Gong'a akitoa kauli yake juu ya sakata hilo.
0 Comments:
Post a Comment