Waziri Wa Mambo ya ndani ya nchi Mh. Mwigulu nchemba amezuru eneo ambalo nyumba za askari ziliungua Arusha.
Katika Press yake na wanahabari Waziri Nchemba amewashukuru wadau mbalimbali ambapo wamejitolea kujenga nyumba hizo kwa kutoka michango yao.
Wadau walioshiriki katika zoezi ni pamoja na Kampuni ya uuzaji Wa madini Tanzanite One, Kampuni ya kutengeneza Magari ya Utalii Hanspaul yote ya Jijini Arusha.
0 Comments:
Post a Comment