Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema kuwa ana huzunika kufikia hatua ya watu kughushi barua za serikali ili kupotosha.
Polepole ametumia ukurasa wake wa Tweeter ambapo alikuwa akifanya majibizano na wadau ambapo jana ilitoka barua ambayo iliandikwa Lissu apewa siku 7 kuiomba radhi serikali ambayo habari hiyo ilikuwa si ya kweli na imepingwa vikali.


No comments:
Post a Comment