DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOWASILI RWANDA

Wakati video video ya show aliyoifanya Diamond Platnumz nchini Rwanda hapa ni video ya namna alivyowasili nchini humo na mapokezi yalivyomuwa. Diamond Alialikwa katika Tamasha la FIESTA RWANDA akiwa na mtanzania mwingine Mwanadada Vanessa Mdee pamoja kikundi cha kimataifa kutoka Jamaica Morgan Heritage.

Play Video kutoka Rwanda hapa chini.

0 Comments:

Post a Comment