Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea nchini Uingereza kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika jana Alhamisi. Kituo cha habari cha umma nchini humo kimebashiri kwamba chama cha Conservative kitasalia kuwa chama chenye nguvu bungeni.
Hata hivyo kura za maoni zinaonyesha kwamba chama hicho kitapoteza baadhi ya viti na huenda kikashindwa kupata idadi kubwa ya viti inayohitajika.
Hata hivyo kura za maoni zinaonyesha kwamba chama hicho kitapoteza baadhi ya viti na huenda kikashindwa kupata idadi kubwa ya viti inayohitajika.
No comments:
Post a Comment