Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe alisimama Bungeni kuzungumzia mpango wa serikali kujenga reli ya kati ambayo tayari ujenzi wa reli hiyo kati ya Dar es salaam hadi Morogoro imeanza ambapo Zitto amekosoa hatua hiyo kwakusema serikali ilitakiwa kuangalia vipaumbele vya maeneo ambayo shughuli za reli hiyo yatasaidia nchi kujipatia kipato kikubwa zaidi.
WABOBEZI MUHIMBILI WAREJESHA 100% SAUTI YA MTOTO MALIKI HASHIMU (GOBA
-
Sauti ya mtoto Maliki Hashimu (6), mkazi wa Goba, Jijini Dar es Salaam
imerejea kwa 100% baada ya kukamilisha hatua zote za matibabu Hospitali ya
Taif...
30 minutes ago
0 Comments:
Post a Comment