Saturday, May 27, 2017

UPDATES: Vipo hapa sababu za Ushindi wa Simba Kombe la Shirikisho.


Mpira umemalizika katika Dimba la Jamihuri Mjini Dodoma kwa Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club kuibuka videdea katika Fainali za Kombe la Shirikisho. Ambapo wapo mbele kwa goli mbili kwa moja dhidi ya Mbao FC

Siliaikika Saudi za Mashabiki wa Mbao FC wakilalama juu ya Simba kupata bao la pia na kua mshindi Kombe la Shirikisho. " mwamuzi amezingua , penalty haikutakiwa pale"

No comments:

Post a Comment