UPDATES: Bado dakika 15 tu! Dimbani hadi sasa Simba 1- 1 Mbao
Kutoka mjini Dodoma bado hali ni tete Simba 1 Mbao 1 huku Dimba wakipata mashambulizi makali kutoka mbao Fc. Nani atashinda endelea kubaki nami nikujuze kinachoendelea Dodoma Moira dakika 90. Endelea kubaki nami
No comments:
Post a Comment