Monday, May 8, 2017

UPDATES UCHAGUZI UFARANSA : Baada ya Ushindi wa zaidi ya 60% Haya ni Sentensi tatu muhimu kuhusu Ufaransa na Ulaya.

BW.  Micron Akifurahia ushindi wake 
"Wafaransa wenzangu, mlioko ndani na nje ya ufaransa, baada ya vita ya muda mrefu vya kidemokrasia , na kuchagua kuweka imani yenu juu yangu. Ningependa kuchukua fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa heshima kubwa.
Macron anasema ni heshima kubwa na mmenipa wajibu mkubwa wa kutekeleza, bila kauli yoyote kwangu, natoa shukrani zangu za dhati kutoka ndani ya moyo wangu.shukrani hizi zimfikie kila mmoja wenu, kwa kura yako na kuniunga mkono. Sitasahau kwamwe, nitakuwa muangalifu sana na nitahakikisha kwa nguvu zangu zote naheshimu imani yenu kwangu"
Bw. Micron akiwa na Mkewe 
ANACHOSEMA Marine Le Pen BAADA YA USHINDI WA MICRON 
"kwasababu nina wiwa moyoni mwangu na nina itakia mema nchi hii.Nimemtakia mafanikio mema katika changamoto zinazoikabili Ufaransa.Ningependa kuwashukuru raia wa Ufaransa milioni kumi na mmoja , ambao waliamua kunipa mimi sauti zao na imani yao juu yangu, pamoja na wanaharakati, ambao waliniunga mkono na kunipa ushirikiano wakati wote wa kampeni,nina furaha kubwa, kwasababu ni ushindi mkubwa kwa ulaya yote, ni ushindi kwa ulaya, ni mkubwa.
wafaransa walionesha furaha yao; ni ushindi mkubwa wa asilimia sitini na tano , hatukulitarajia hilo, naaa, ndo hivyo, ni utawala mwingine kwa Ufaransa. Huwezi kuamini, nina matumaini kwamba naamini atapata uungwaji mkono katika bunge la uchaguzi mnamo mwezi june na huenda ukaleta mabadiliko makubwa nchini. itastaajabisha."
Marina naye akayatoa ya moyoni 
"nimeridhika sana, ushindi huu umeiokoa Ulaya, nastaajabia kabisa, ni suala halisi, naamini itasababisha ulaya ijichekeche, nafikiri italeta mabadiliko makubwa , tutashuhudia mabadiliko makubwa yakiambatana na maelekezo mapya, ni ajabu, mastaajabu, asante."

No comments:

Post a Comment