Ikumbukwe kuwa alipokuwa Waziri wa Utamaduni, vijana, na michezo Nape aliunda kamati Maalum ya uchunguzi baada ya mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda kuvamia kituo cha Radio ya Clouds.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Mtama (CCM) Ameandika kwamba aliunda Time ya kuchunguza uvamizi Clouds Media na siyo time ya kumchinguza RC.
Ameongeza kuwa kama RC alihusika katika tukio la uvamizi clouds na yeye hayupo juu ya sheria.

0 Comments:
Post a Comment