PICHA: Lowassa alivyomtembelea Mzee Kitwana Hospitalini Hindu Mandal

Waziri mkuu wa zamani na mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh. Edward Lowassa leo Ijumaa amefika katika hospital ya Hindu Mandal kumjulia hali mwanasiasa mkongwe na Meya wa zamani wa jiji la Dar es salaam, Mzee Kitwana Kondo anaeendelea kupatiwa matibabu hospitalini hapo kufuatia maradhi yanayomsumbua kwa muda mrefu.



0 Comments:

Post a Comment