Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan katika ujumbe wake kwa niaba ya siku kuu ya akina mama kuwa amesema kuwa wanawake ni ishara tosha ya upendo, uvumilivu na huruma.
Siku kuu ya kimataifa ya akina mama huadhimishwa kila ifikapo Mei 14.
Rais Erdoğan ametoa ujumbe wa pongezi kwa akina mama na kusema kuwa ni akinamama ni ishara tosha ya upendo, uvimilivu na huruma.
Akinamama wanalo jukumu kubwa katika jamii kutokana na wadhifa walionao katika maisha ya kila siku.
0 Comments:
Post a Comment