(Move to ...)
About Us
Contact Us
Tangaza Nasi | Advertise here
▼
Friday, May 12, 2017
HABARI: Uturuki kufungua Kambi ya Jeshi Somalia
Akiongea katika mkutano wa Somalia jijini London waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım afahamisha kuwa katika mapambano dhidi ya wanamgambo wa Al Shabaab imeunda kambi katika nchi ya Somalia .
.Kambi hiyo itafunguliwa rasmi mwezi Septemba .
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment