EXCLUSIVE UPDATES: PICHA 5 Baada ya kuachiwa kwa Dhamana hili ni tamko la Maya Kalisti Lazaro, CHADEMA yatoa tamko

Meya Kalisti Lazaro wa jiji la Arusha (katikati) akiongea na waandishi wa Habari baada ya kuachiwa kwa dhamana. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kaskazini Mh. Amani Golugwa





M/kiti wa Chadema kanda ya kaskazini Mh. Amani Glugwa (katikati) akisisitiza kuwa kitendo wanachofanyiwa baadhi ya viongozi havifuati matakwa ya sheria.
QUOTES ZA MEYA KALISTI LAZARO
Mimi ni Diwani wa Sokoni One, Wazazi waliofiwa wako 6 kwenye kata yangu, Diwani wa Olasiti ana familia 11 zilizofiwa… na Diwani mwingine Credo ana familia 6 zilizopoteza watoto, kwahiyo nikawaambia Madiwani wangu wahakikishe hizo familia zinakuwepo pale shuleni na mwenye shule akaandaa darasa moja ili tukio hilo lifanikiwe’
‘Moja ya vitu Wadau hao walitaka kuwe na maombi na nilimuandaa Padri wa Kanisa Katoliki, Mchungaji wa KKKT na kiongozi wa BAKWATA kutoka Olasiti, kabla ya zoezi la kukabidhi rambirambi mkononi kwa Wafiwa Polisi walivamia’


0 Comments:

Post a Comment