Monday, May 29, 2017

EXCLUSIVE : SIRRO BAADA TU YA KUAPISHWA AFICHUA HIKI

Baada ya kuteuliwa IGP SIRRO ameahidi kuwafichua na kuwapa onyo Kali watu wanaojihusisha na uhalifu.

Video ya IGP Sirro akizungumza kwa Ghadabu nimekuwekea hapa chini. Katika hatua nyingine IGP Sirro amewataka wananchi kutoa uahirikiano wa hali ya juu katika kuhakikisha ulinzi thabiti unapatikana.

IGP Sirro amesema Inawezekena kuyapunguza vitendo vya kihalifu kwa asilimia kubwa.

No comments:

Post a Comment