Thursday, May 11, 2017

BURUDANI: baada ya Chibu Perfume, Ali Kiba Adai kuja Brand yake 'AK' na 'King Kiba'


Baada ya Chibu Perfume Inayomilikiwa na Msanii nyota wa Afrika na Mtanzania anayefanya vema kimataifa Diamond Platnumz , sasa no zamu ya msanii na staa wa Aje Alikiba ambapo amedai kuja na brand kibao ikiwemo Trausers za jeans , vinywaji nakadhalika. Nukuu ya Alikiba zipo hapa chini.
"
AK ni Brand ya Alikiba nashukuru imekuwa kubwa watu wanavaa lakini pia ipo na ya King Kiba nayo ni brand yangu na zipo official kabisa na kazi zitakapoanza watapata product zote’ – Alikiba
Kuna Malengo makubwa sana tumeyaweka lakini siwezi kusema sasa hivi ila kuna Jeans Viatu na Glasses tayari zishatoka soon wataziona maana hizi zitakuwa za kwanza sababu tayari zishatoka na kuna energy drink” – Alikiba

No comments:

Post a Comment