Thursday, May 11, 2017

BIRTHDAY: Leo ni Ile Siku official ya Maneja wa Diamond Platnumz #Sallam-SK #Mendez , Ni Swahiba wa Jay Z kumbe

Kama ujuavyo MTU wangu leo Birth Day yaani Sikh ya kuzaliwa kwa Maneja huyu Maarufu hapa bongo na Afrika kwa ujumla lakini pia Duniani kwa sababu tupo na evidence ya kukuonesha kuwa huyu Maneja in MTU popular sana duniani. Tazama picha hapa chini Yupo JAY Z na SALLAM SK ,
jay z kuahoto kulia yupo MendeZ 
Usiku huu Sallam SK ataaherekea Tafrija ya simu yake yakuzaliwa ambapo atakuwa na Timu ya WCB akiwwmo Diamond Platnumz a.k.a Simba.  Maneja mwenza Naye atakuwepo Babutale katika muonekano wa 90's.
Maneja wa Diamond Platnumz Babutale
Wote wamo kwenye sherehe za 90's Usiku huu

No comments:

Post a Comment