Wednesday, May 31, 2017

BREAKING NEWS: Nguli Wa Siasa nchini Ndesa Mburo amefariki dunia


Ni taarifa ya kuaikitisha mtu wangu
Taarifa ikiyonifikia muda huu ni kwamba Mbunge Wa Zamani Wa Moshi mjini na M/Kiti CHADEMA Mkoa Wa Kilimanjaro Mh. Philemon Ndesamburo amefariki dunia.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Mh. Amani Golugwa imethibitiaha kutokea kwa kifo cha Nguli huyo Wa siasa nchini.


"Kwa masikitiko tunawatangazia kuwa, Mbunge Mstaafu wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa kilimanjaro, Mhe.Pilemon Ndessamburo amefariki Dunia mapema hii leo."
Katibu wa kanda ya Kaskazini Amani Golugwa athibitisha

Endelea kubaki nami ikiwa ni pamoja na kwenye Mitandao ya kijamii Facebook ,Twitter, Instagram,  kote kwa jina la Habari Tanzania Grace Macha  bila kusahau kutazama Latest Videos zote katika V.O.A TV YouTube.

No comments:

Post a Comment