Wednesday, April 12, 2017

‘Haiwezekani mtu anaimba wimbo wa kumtukana Rais’ –Mbunge Keissy

Bunge limeendelea kujadili mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu kwa mwaka 2017/2018 ambapo baadhi ya wabunge walipata nafasi ya kusimama kuchangia, Mbunge wa Nkasi Kaskazini Ally Kessy alisimama na kulalamikia baadhi ya wasanii wanaoimba nyimbo za kumtukana Rais.

No comments:

Post a Comment