|
Awa Dabo |
Leo Serikali imetoa taarifa kuwa uamuzi huo umefikiwa kutokuwepo maelewano baina ya mkurugenzi wa shirika hilo na baadhi ya watumishi wa shirika hilo.
kulingana na taarifa hiyo ni kwamba hali ya kutooelewana huko kumekuwa na vikwazo vya kiutendaji na kuzorotesha maendeleo nchini.
No comments:
Post a Comment