Kama tulivyoripoti awali kuwa Rais JPM yupo mkoani Kilimanjaro Kwa Ziara ya siku Tatum.
Rais JPM |
Rais JPM pamoja na mengine amekutana na viongozi wa madhehebu mbalimbali mkoani Kilimanjaro, katika Nia ya kutatua kero mbalimbali za wananchi.
Katika makutano hayo Rais JPM pia amemuagiza Kamishina wa taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa TAKUKURU kurejea mkataba uliowekwa dhidi ya manispaa ya Moshi kufuatia malalamiko na kilio cha wananchi kuwa wanapata manyanyaso kutoka Kwa mawakala wa maegesho.
Vilevile Rais JPM ameeleza kuwa kufuatia serikali kuzuia unywaji pombe aina ya viroba kumepungunza Ajali za bararabarani.
No comments:
Post a Comment