>
> MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA), jana akiongea na
> waandishi wa habari maeneo ya Philips akielezea sababu za wao
> kutoandamana ambapo kwa nyuma yake wanaonekana askari wa kutuliza
> ghasia, FFU wakiendelea kudhibiti eneo hilo wakiwa na gari lao la maji
> ya kuwasha. (picha na Grace Macha).
IAEA Yaipongeza Zanzibar kwa Ushirikiano Katika Kilimo na Mifugo
-
Na Mwandishi Wetu,Zanzibar
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Mhe. Suleiman
Masoud Makame, amelishukuru Wakala wa Kimataifa wa Ng...
1 hour ago

0 Comments:
Post a Comment