Gonga hapa kufatilia
Katibu Mkuu Dk. Slaa ndiyo anaingia hapa. Kuashiria kuwa shughuli inakwenda kuanza punde.
Mikoa inaendelea kupangwa hapa...ili wajumbe wakae kwa kufuata mikoa.
Live imeshaanza wakati wa hotuba ya ufunguzi inasomwa na Mkiti wa Baraza Mzee Nyangaki Shilingushela.
