Gonga hapa kufatilia
Katibu Mkuu Dk. Slaa ndiyo anaingia hapa. Kuashiria kuwa shughuli inakwenda kuanza punde.
Mikoa inaendelea kupangwa hapa...ili wajumbe wakae kwa kufuata mikoa.
Live imeshaanza wakati wa hotuba ya ufunguzi inasomwa na Mkiti wa Baraza Mzee Nyangaki Shilingushela.
RC Sendiga Aongoza Zoezi la Ugawaji Bima ya Afya kwa Kaya Maskini Babati
-
Na Mwandishi Wetu, Manyara.
WANANCHI wa kaya maskini katika Kijiji cha Imbilili, Kata ya Sigino, Wilaya
ya Babati mkoani Manyara, wameanza kunufaika na hud...
10 hours ago
