Ikiwa ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la kalenga mhe. Rose kamili ametekwa na vijana wa ccm maarufu kama green guard, kwa mjibu wa kurugezi ya habari ya chadema Rose kamili alikutwa akifanya mkutano wa ndani kijiji cha Kitawaya waka mteka na kutokomea nae kusiko julikana....
Rose kamili akiwa kituo cha polisi
Taarifa zilizonifikia ni kwamba Rose kamili baada ya kutekwa na taarifa kuwafikia vijana wa chadema na kuanza kufukuzana green guard wakapiga simu kuwa kuna mtu wamemkamata akigawa rushwandipo polisi walipo wahi eneo la tukio na kumchukua Rose kamili..
No comments:
Post a Comment